Naombeni mwaliko

Naombeni mwaliko

Jamani eeh...
Nimeona nivunje ukimya maana kila mtu yupo kimya
Naombeni mnialike Krismasi jamani mimi hata sili sana, kuku wawili, nyama ya ng'ombe kilo moja, pilau sahani tatu, nne au tano nashiba kabisa mimi hata sili sana
Nasubiria mafuriko ya mialiko
065673527_

Namba ya mwisho ya mwaka wako wa kuzaliwa ndio unakamilisha hiyo namba.

Ushindwe wewe tu hapo.
 
Uko wapi mimi by saa 9 mchana ntakuwa naenda mwanza na ndege ya magu kula bata kama vipi njoo inbobo tuyajenge twende wote
 
Jamani eeh...
Nimeona nivunje ukimya maana kila mtu yupo kimya
Naombeni mnialike Krismasi jamani mimi hata sili sana, kuku wawili, nyama ya ng'ombe kilo moja, pilau sahani tatu, nne au tano nashiba kabisa mimi hata sili sana
Nasubiria mafuriko ya mialiko

nakukaribisha Sikukuu zote za mwaka huu zilizobaki uje kwangu
 
Back
Top Bottom