Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
Asante Sana mkuu. Kuna kitu nimekinyaka hapa. Shukrani.Mbuzi ni wa kwako sasa kwanini ukaombe kibali na maushuru
km nyama umechinja wewe safirisha tu
lkn sio ukawafanyie biashara pale Vingunguti au Dubai, Comoro hata iwe nyama au ngozi utalipia
sasa weka wazi ni biashara
- Utalipia Ushuru wa Mnadani wa Halmashauri
- utalipia machinjioni na gharama nyingine
- ukisafirisha uatalipia pia katika mnada utakaoshushia ili uwause tena
- km ni wa sherehe wagawie wenzako hapo hakuna tena ushuru