Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
Bila shaka mu wazima wa afya. Naomba mwongozo wa Mambo yafuatayo.
1. Ushuru wa kusafirisha mbuzi kutoka wilaya moja hadi nyingine ukoje?
2. Inaruhusiwa kusafirisha kwenye gari ya abiria (kwenye keria juu), au pikipiki?
3. Je, naweza kusafirisha nyama ya mbuzi kutoka halimashauri moja hadi nyingine ndani ya mkoa? Napo ushuru ukoje kwa wazoefu?
Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app