Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Soma maelezo uelewe kijana acha kuPanic... Aliyekuambia ktk hio website ni raman za kizungu tu ni nani..?Hio unayoidharau ni taaluma ya watu, kama mambo si mazuri kwa upande wako. Download Ramani jenga, wengine hutaka Ramani kwa mapendekzo yake na culture ya ki Tanzania, sio Ramani za wazungu zenye shape ya box.
Endelea kukaza fuvuUnajiita mtaalam unashindwa kusoma maelezo mepesi niliyo yaeleza hapo... [emoji23][emoji28] tatzo lenu mnadhan dunia imesimama, mafunzo ya kurusha ndege yapo Google, sembuse ramani za nyumba..?
Aijulie wapi huyo? Anachukulia mambo easy easy tuWalienda kusomea ujinga, halafu muulize anajuwa hata BOQ ni nini?
Wapi huko naweza jifunza kurusha ndegeUnajiita mtaalam unashindwa kusoma maelezo mepesi niliyo yaeleza hapo... 😂😅 tatzo lenu mnadhan dunia imesimama, mafunzo ya kurusha ndege yapo Google, sembuse ramani za nyumba..?
Okingia ( www.pinterest.com ) utakuta kila aina ya ramani unayoitaka wewe duniani na Architecture wameweka na vipimo kabisa... Kazi yako ni ku download... Hawa Architectures uchwara unao waona mjini wana download ktk hio website na kuwauzia watu kwa elfu50 hadi laki1... Nime attach sample japo nime screenshot hazitaonekana vzuri...
Mbona kama unapanic sasa ndugu mchora ramani..!?Harafu unakuta kiwanja chako kina slope na ramani za kwenye mtandao hazina features hizo! Hapo ndo utajiona Fa.. !
Hahhaha noma sanaWatu wamepanic daadek. Ni kama mmegusa ugali wao
Nyumba kali sana ,Karibu nikusaidie. MkuuView attachment 2351428View attachment 2351442
Weka urefu na upana wa kiwanja. Hizo 400sqm inaweza ikawa ni 20m X 20m au hata 10m X 40m etcHabarini wakuu,
Ramani nzuri ya kiwanja cha 400 SQR Meter msaada wenu tafadhali