Naombeni ramani nzuri ya ujenzi kiwanja cha 400 SQR Meter

Naombeni ramani nzuri ya ujenzi kiwanja cha 400 SQR Meter

Hio unayoidharau ni taaluma ya watu, kama mambo si mazuri kwa upande wako. Download Ramani jenga, wengine hutaka Ramani kwa mapendekzo yake na culture ya ki Tanzania, sio Ramani za wazungu zenye shape ya box.
Soma maelezo uelewe kijana acha kuPanic... Aliyekuambia ktk hio website ni raman za kizungu tu ni nani..?
 
Me nyumba yangu ya kwanza ramani tulichora chini kwa kutumia unga. Ipo hadi leo na tope lake
 
Mtoa mada, tembelea hapa

 
Unajiita mtaalam unashindwa kusoma maelezo mepesi niliyo yaeleza hapo... 😂😅 tatzo lenu mnadhan dunia imesimama, mafunzo ya kurusha ndege yapo Google, sembuse ramani za nyumba..?
Wapi huko naweza jifunza kurusha ndege
 
Kuna watu wamekuwa wakali sana...

Ramani zapatikana vizuri muhimu ujue tu ukubwa wa kiwanja, kuhusu elevation ma mabonde hapo ni swala la kuongeza msingi au kulevel
 
O
ingia ( www.pinterest.com ) utakuta kila aina ya ramani unayoitaka wewe duniani na Architecture wameweka na vipimo kabisa... Kazi yako ni ku download... Hawa Architectures uchwara unao waona mjini wana download ktk hio website na kuwauzia watu kwa elfu50 hadi laki1... Nime attach sample japo nime screenshot hazitaonekana vzuri...
Ok
 
Screenshot_20221024-161759_Video%20Editor.jpg
20221025_072129.jpg


Jamani hakuna kitu kizuri cha bure!! Huwezi panga kutumia millions of money afu uogope kutoa laki mbili hadi tatu za mchoro!! Think wisely!!!

Haya check hiyo! Ukitaka full document andaa $$$, ukiweza edit vipimo sawa!!!
 
Back
Top Bottom