Naombeni Sala zenu, wana jf

Naombeni Sala zenu, wana jf

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,186
Reaction score
7,184
Habari za asubuhi, natumia mu wazima wa afya.

Naomba ukipata muda tu unikumbuke kwa sala zenu. Safari niendayo iwe salama nikawakilishe wajibu niondako.

Mungu akubariki utayenikumbuka

Asanteni
 
Bon voyage, unaenda kwenye uwanja wa mapambano?
 
Habari za asubuhi, natumia mu wazima wa afya.

Naomba ukipata muda tu unikumbuke kwa sala zenu. Safari niendayo iwe salama nikawakilishe wajibu niondako.

Mungu akubariki utayenikumbuka

Asanteni
 
Mungu akukumbuke na akulinde katika safari yako na wajibu wako uwe salama n urudi salama ubarikiwe
 
Back
Top Bottom