Heshima kwenu wadau,
mimi ni mwanachuo wa chuo furani cha ualimu hapa tz.
katika maisha yangu ndoto yangu nirikua natamani sana niwe mtaalamu wa kilimo na mifugo. lakini kutokana na sababu za hapa na pale nimejikuta nasomea ualimu tena ngazi ya cheti kutokana na ufinyu wa bajeti.
sasa mimi pamoja na hali nirikua nina mpango ndani ya miaka 7 ijayo niwe nimekamilisha ndoto yangu ya kuwa mtaalamu wa kilimo.
kwa wadau waliopitia njia kama hizi naombeni njia mrizopitia.matokeo yangu ya kidato cha nne 2012 ni dalaja la nne la alama 26, kingereza C,Kiswahili C,hesabu F,fizikia sikufanya,yaliyobaki ni D tupu.
Naomba mawazo yenu ni mhimu sana.