Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Alianza kwa kuuza ngano ya National milling karibu scania yote aliyouza huko Singida mwaka 1974 halafu akaangusha lori lile mtaloni karibu na milima ya Sekenke kabla hata dhahabu haijagunduluiwa huko Kahama kwani ilianza kuchimbwa mwanzoni mwa mwaka 1976 hivi. Alianza biashara kwa kununua mashine ya kusaga Unga iliyokuwa imesimikwa upande wa kuelekea Ginnery ya pamba, nafikiri eneo lile lilikuwa linaitwa Korogwe. Baada ya kuwa ameshakuwa mfanyabiashara mwenye pesa nzuri zaidi ndipo akaingilia biashara ya dhahabu na kununua miradi ya KADECO karibu yote.Kishimba alitajirikia kwenye dhahabu
Mimi namfahamu vizuri sana tangu wakati angali jamaa mwembamba mrefu sana.