Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Mvumi ndugu nilichanganya kidogoUvumi au Mvumi mkuu...?
Safi sanaKunaitwa mvumi ni kuzuri sana ,ardh inautajiri wa rutuba maana iko bonden hivo mara kwa mara mto unaleta ardh mpya kutoka makwambe na milima ya gongwe,kuhusu bei ya chumba inakua kawaida maana ni kijijini
KUHUSU KILIMO NA MAZAO YANAYO KUBALI HUKO
1. Mazao yote unayo yajua wew yanakubari isipokua usije kujiroga ukapanda njugu
2 .napafaham vizuri mvumi maana nimeishi miaka 10 kijiji cha msowero na mpaka leo naishi Dar. Lkn bado shughuli zangu za kilimo nafanyia huko
Unapoenda hakikisha ukutane na wenyeji wastaarabu maana unaweza kununua shamba kumbe lipo kwenye njia ya mto maana mito ya huko mara kwa mara inahama!
Asante nimeipenda hiiKunaitwa mvumi ni kuzuri sana ,ardh inautajiri wa rutuba maana iko bonden hivo mara kwa mara mto unaleta ardh mpya kutoka makwambe na milima ya gongwe,kuhusu bei ya chumba inakua kawaida maana ni kijijini