Naombeni tafsiri nimeota mpenzi wangu Irene kajifungua mapacha

Naombeni tafsiri nimeota mpenzi wangu Irene kajifungua mapacha

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello family,

Nisaidieni tafsiri ya ndoto hii nimeota mpenzi wangu Irene mtoto wa Hedaru mwenye Babu na Bibi wa huko Gonja Kighale amejifungua mapacha wote wa kike, ni mpenzi wangu miezi sita sasa, wakati huu hana mimba imekuwaje nimeota hio ndoto ya namna hii?

Saidieni tafadhari tujenge taifa nifanye maandalizi nianze shoo kali au inamaana gani hii ndoto.

Shukrani

Wadiz
 
We mbona mkatili sana
Sjawahi kuwa mkatili mimi, kiuhalisia nani anaweza kutoa majibu ya ndoto? Maana kama mwenzie hana mimba afu kaota amejifungua na anataka tumpe jibu, linatoka wapi kwamfano
 
Sjawahi kuwa mkatili mimi, kiuhalisia nani anaweza kutoa majibu ya ndoto? Maana kama mwenzie hana mimba afu kaota amejifungua na anataka tumpe jibu, linatoka wapi kwamfano
Punguza makasiriko, wengine humu wanatibiwa Mirembe, wako idle wodini wanatulelea nyuzi
 
Back
Top Bottom