Naombeni tafsiri ya ' I miss you' kwa kiswahili

Naombeni tafsiri ya ' I miss you' kwa kiswahili

Mchanya

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
997
Reaction score
1,568
Waungwana kwa anayefahamu naombeni msaada wa tafsiri ya Kiswahili ya msemo wa Kiingereza usemao; 'I Miss You'.
 
Waungwana kwa anayefahamu naombeni msaada wa tafsiri ya Kiswahili ya msemo wa Kiingereza usemao; 'I Miss You'.
mmmh!! wasubirie mabingwa wa kiswahili wanakuja, hope utapata jibu
 
Mambo ya google ya translator haya [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_1517.jpg
 
Back
Top Bottom