Naombeni tafsiri ya ' I miss you' kwa kiswahili

Naombeni tafsiri ya ' I miss you' kwa kiswahili

lugha huendana na utamaduni....so hakuna tafsiri nzuri ya maneno hayo ktk lugha ya kiswahili coz sio utamaduni wetu kuambiana hivyo..
ila ni vizuri kutumia hivyo hivyo, ukitafsiri unapoteza maana halisi
 
Waungwana kwa anayefahamu naombeni msaada wa tafsiri ya Kiswahili ya msemo wa Kiingereza usemao; 'I Miss You'.
Sasa mbona linatafsirika tuu mimi ni binti wewe ndio kiswahili chake hicho
 
Tuwaulize wabunge walosema wamem miss kikwete wenda wao kwa kiswahili wanajua
 
Hakuna tafsiri ya moja kwa moja inayoleta maana hivyo ukisema "Uwepo wako umekosekana" au hata "Sijakuona kitambo"
 
Hilo neno wabongo wamekalili watakuambia nimkukumbuka na ndivyo tulivyozowea ila huko siko kwenye mana yake wamelichukuli mazoea kama neno honey kwa walimwengu ikiwa neno halimaanishi kma wao wanavyolichukulia
 
litohoe tu!
"nimekumisi" au "nakumisi"

ni kama tulivyotohoa maneno "bore", "boring", "bored" > boa, inaboa, nimeboreka 😀😀😀
 
Back
Top Bottom