Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Nimeota nimeenda kupanga nyumba, ila chumba changu sikukipanga, vitu nikawa nimeviweka tu shaghala bagala.
Kwenye hiyo nyumba niliyopanga, kulikuwa na wasichana wawili warefu, mmoja mnene kidogo, basi nikawa mgeni wao, yaani nawalala wote kwa pamoja, hata sebuleni na popote nawalala tu.
Sasa ile tabia yangu, mama mwenye nyumba akawa haipendi. Akaamua kunifanyia arrangement ya vitu vyangu kule chumbani.
Basi akanikuta na nyaraka nyingi sana za ofisini. Huyu mwenye nyumba pia ni kine manager wangu ofisini.
Akanikuta na LOAN AGREEMENT ambayo imesainiwa na mteja tayari na management imesha sign, yaani iko fully executed, inatakiwa kuwemo kwenye dossier lakini mimi ninayo nyumbani.
Basi akanisema sana hadi nikakosa raha na nomeamka bado nina fikiria hiyo ndoto.
Pia msichana mmoja nilikuwa namlamba na kumnyonya mbuta yake, ilikuwa na chumvi sana kuliko kawaida na ilikuwa inatoa vitu fulani vya yabisi.
Naombeni tafsiri