Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neno mchepuko lilitokana na tangazo flani la ukimwi lililo sema "Acha kuchepuka baki njia kuu, michepuko sio dili" likiwa na maana wanandoa wasiende njia za pembeni yaani kuwa na wapenzi nje ya ndoa, wabaki katika ndoa ili kuilinda ndoa yao na hatari ya ukimwi. So kwa maelezo hayo mchepuko ni mtu yeyote awe me au ke anaekuwa na mahusiano ya kimapenz na mwanandoa! Yaani mfano katk ndoa mume akiwa na mahusiano na binti flan nje ya ndoa binti huyo ataitwa mchepuko, na pia mke akiwa na uhusiano na jamaa nje ya ndoa jamaa huyo ataitwa mchepuko.A.k.a side chick. Ni mwanamke au mwanaume anambaye anatembea au ana mahusiano na mwanamke au mwanaume aliyeolewa
NIMEKUELEWA MKUU KWA UFAFANUZI WAKONeno mchepuko lilitokana na tangazo flani la ukimwi lililo sema "Acha kuchepuka baki njia kuu, michepuko sio dili" likiwa na maana wanandoa wasiende njia za pembeni yaani kuwa na wapenzi nje ya ndoa, wabaki katika ndoa ili kuilinda ndoa yao na hatari ya ukimwi. So kwa maelezo hayo mchepuko ni mtu yeyote awe me au ke anaekuwa na mahusiano ya kimapenz na mwanandoa! Yaani mfano katk ndoa mume akiwa na mahusiano na binti flan nje ya ndoa binti huyo ataitwa mchepuko, na pia mke akiwa na uhusiano na jamaa nje ya ndoa jamaa huyo ataitwa mchepuko.