Naombeni template ya payroll audit report

Naombeni template ya payroll audit report

Kaka, chukulia wewe ndiye msomaji wa hiyo ripoti. Je ni vitu gani ungetegemea uvikute. Ukipata jibu hapo basi kazi imeisha.

Ili kuandaa taarifa mzuri ni vyema muandaaji akajigeuza kuwa msomaji ili kupima usahihi wa taarifa.
 
Shida utakuta na yeye hajui vitu gani anatakiwa avikute
 
Mkuu mimi nitakuchekia kesho nikienda job kuna file niliwahi kuliona.ila probability ni 20% huenda ikawa ni report kweli ya kihasibu unayoitaka
 
Wahasibu wa jamii forums najua mko wengi hadi wengine ni ma auditor, nina kazi ya kutengeneza hio report ila nilikuwa nataka template walau inipe picha ya kitu kinatakiwa kioenekanaje
Wewe nafasi yako iko wapi;

1. Kama mkaguzi wa ndani unataka kuripoti kwa mkuu wa kitengo cha ukaguzi wa ndani au kamati ya ukaguzi, ama

2. Wewe ni mkaguzi wa nje au mshauri binafsi unataka kuripoti kwa kampuni kile ulicho kiona au kukuta kuhusi mfumo wa uchakataji na upitishaji mishahara

Nafasi yako ndio itawezesha kupata ripoti unayo kusudia
 
Back
Top Bottom