Naombeni tenda za kutengeneza madirisha na milango WanajamiiFroums

Bombambili hapa Ghorofani kwa njau, karibu mkuu
Ok. Napafahamu hapo.
Ushauri wangu, ukiamua kujitangaza hivi, andaa namba ya ofisi tu ili iwe rahisi kwa wanaotaka kuuliza kabla hawajaja ofisini. Sio lazima uwe nayo wewe, mpe awe nayo kijana yoyote kati ya hao unaemwamini.

Nazani unaweza ku deliver hapo shule ya Tanga.?
 
Ok. Napafahamu hapo.
Ushauri wangu, ukiamua kujitangaza hivi, andaa namba ya ofisi tu ili iwe rahisi kwa wanaotaka kuuliza kabla hawajaja ofisini. Sio lazima uwe nayo wewe, mpe awe nayo kijana yoyote kati ya hao unaemwamini.

Nazani unaweza ku deliver hapo shuke ya Tanga.?
Asante kwa ushauri mzuri mkuu..
 
Back
Top Bottom