King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Pole mkuu
Hiyo Ni shida ya kisaikolojia, Inaitwa fear of flying. Inawashika watu Wengi tu.
Yule Mwalimu wake sarafina kwenye movie ya sarafina, na yeye anafear of flying. Ni mMarekani alipewaga uraia na Raisi wa nchi fulani ya West Africa sikumbuki nchi gani lakini alishindwa kwenda sababu ya fear of flying.
We unazungumzia ghorofani mie kale kadaraja ka Buguruni tu kananitia wazimu nikiwa juuSio wewe Tu.
Mimi hata kupanda gorofani naogopa.
Inaelekea hii movie nzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio wewe Tu.
Mimi hata kupanda gorofani naogopa.
Inaelekea hii movie nzuri
SijawahiUkipanda ile ya kienyeji taharuki ni hiyo hiyo mkuu?
bro kama unahc ukipanda ndege unakuwa na hofu we waagize hao cabin crew wakupe pombe unywe kwa wingi. ustukie uko airport. ikitokea imedongoka unajistukia uko mbingun au moton.Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!
Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!
Vikianza Vile vihudumu vinapoelezea kuhusu maparachuti fastafasta tena kwa kingereza ....ladies and gentleman..... Huwa nasema huyu anasema nini, yaani itokee mbungi huku juu hivi vikarachuti ambavyo hata cjawahi kuvivaa ndo nivae wakati wa hatari vitasaidia kweli?
Kwanza huko angani kuelea tu ule upepo ni mtihani mkubwa KM 5 juu angani hadi ufike chini kuna mtu hapo? Balaa ufikie juu ya nguzo za umeme itakuwaje!?
Kiufupi huwa nateseka sana nikipanda ndege wakati mwingine huwa najuta kwanini nimeipanda nakuacha bus!
Kuna wakati inapokaribia kutua rubani huzima AC kusubiri kuruhusiwa kutua, basi hata kupumua huwa naona kama oksjen inapungua,
Nyie mnawezaje wenzangu! Tena comfortable kabisa huwa nawaona mnaneng'eneka kwenda hadi chooni!
Mnawezaje wenzangu? Samahan kwa hili jaman
Niliwahi kupanda mtumbwi siku hiyo yaani maji unayagusa na kidole niliwaza sana halafu wengine wapo busy na sigara tu dadaddeki
Asante kwa ushauriHakikisha unakata K-VANT kubwa moja kabla hujapanda ndege. Hutojutia
Mimi kwakweli pia naogopa sana ghorofani yaani ctakag kuchungulia dirishani, kidude chetu cha kuwekea luku kimeharbika kwahiyo kuna ngaz tunaingiza direct
pale juu kwenye luku, aisee ikitokea niko peke angu ntahiyar kulala giza kuliko nipande ngazi, roho hua inanienda mbio nahis mbao zile zitavunjika basi naishia njiani.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Haya ndo madhara ya kutowazoesha watoto kupanda ndege.Muda wote anawaza Gravitational force 9.8
Kuwazoeshaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo lift huwa nawaza kamba zikikatika tutashuka kama jiwe puuu!
Pole,utazoea tu, ila safari za ndege kwenda America ya kusini ni shidaa tupu,kuna vimbuga vya kufa mtu.
Labda alimaanisha kuwarusharusha juu ya paa la nyumba wakiwa angali wachanga na kuwadaka!Kwanza huyo ni muongo tu, si ajabu hana hata mtoto na yeye mwenyewe hajawahi kupanda ndege!
Mkuu ndege gani wanatoa parachute? Au ilipanda zile za kivita?Sijawahi lakini huwa nabana miguu kukanyaga breki
Mkuu ndege gani wanatoa parachute? Au ilipanda zile za kivita?