[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro kama unahc ukipanda ndege unakuwa na hofu we waagize hao cabin crew wakupe pombe unywe kwa wingi. ustukie uko airport. ikitokea imedongoka unajistukia uko mbingun au moton.
Ukiwa rais NI mwedo wa V8 tu.Au niwe naenda kufanya mazoezi kwenye bembea za kule funcity hadi nizoee
Mkuu siyo ushamba, kuna tofauti ya kupanda gari na kupanda ndege hasa hizi za kwetu, lazima zikupe mawazo na woga kidogo. Kuna phobia inatokana na heights ndio, ila mtu kuwa miles nyingi kutoka ardhini na bado hana cha kujiuliza, nadhani huo nao ni ugonjwa wa aina yake.Kabisa mkuu kwahiyo siyo ushamba
Kikubwa ni mtu kujiandaa kiroho na kimwili, hakuna usafiri salama kivile, boat bahari ikiwa imechafuka siyo salama hata kidogo, meli nazo mara zimetoboka etc. Waliotengeneza meli ya titanic waliamini ni meli bora kabisa na ya kisasa, wakafikia hatua ya kukufuru kwa kusema "even God can't sink it". Kilichotokea ni kuwa safari yake ya kwanza tu, ilipata ajali ikakatika vipande viwili. Bottom line ni kuwa kazi ya binadamu siyo kamilifu, chochote kinaweza kutokea.Miongoni mwa watu mliokosa raha ya adventure ni nyie mnaoogopa usafiri wa maji! Unakuta eti mtu anataka enda Zanzibar kwa ndege... ili iwe nini!!!
Kwanza meli haina uoga wowote... labda ungesema boti!!
Na kama unaenda mahali kama ZNZ, uta-ejoy zaidi ukisafiri kwa boti kuliko ukisafiri kwa meli! Kwanza meli zina ujinga wa kusafiri usiku utafikiri zimebeba wachawi!
Mie hata lift tu napata tabu, yani huwa napanda basi tu napo hadi pawe parefu kama ni gorofa 5- napanda ngazi....
Me mwenzako zamani nikipanda basi nikuwaga naona miti inarudi nyuma ,ila baadaye nilizoeaSamahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!
Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!
Vikianza Vile vihudumu vinapoelezea kuhusu maparachuti fastafasta tena kwa kingereza ....ladies and gentleman..... Huwa nasema huyu anasema nini, yaani itokee mbungi huku juu hivi vikarachuti ambavyo hata cjawahi kuvivaa ndo nivae wakati wa hatari vitasaidia kweli?
Kwanza huko angani kuelea tu ule upepo ni mtihani mkubwa KM 5 juu angani hadi ufike chini kuna mtu hapo? Balaa ufikie juu ya nguzo za umeme itakuwaje!?
Kiufupi huwa nateseka sana nikipanda ndege wakati mwingine huwa najuta kwanini nimeipanda nakuacha bus!
Kuna wakati inapokaribia kutua rubani huzima AC kusubiri kuruhusiwa kutua, basi hata kupumua huwa naona kama oksjen inapungua,
Nyie mnawezaje wenzangu! Tena comfortable kabisa huwa nawaona mnaneng'eneka kwenda hadi chooni!
Mnawezaje wenzangu? Samahan kwa hili jaman
Kuna siku mtu alikua ananivuta tukapande lift, mi naogopa nimeshika chuma ananivuta yani nlikua kama ndio nimeingia mjini siku hiyo....Mkuu habari ya kupanda Lift kwangu ilikuwa shida sana...... Kuna siku ikawa sina ujanja maana nilikuwa naenda ofisi fulani ambayo ipo ghorofa ya 10, hapo ikanipasa nimuombe mlinzi wa ofisini kwetu anisindikize bila kumwambia kuwa naogopa kupanda lift. Tangu siku hiyo mpaka leo uoga umeniisha, napanda lift bila hofu.
Kwani jiwe alishukaje?Hiyo lift huwa nawaza kamba zikikatika tutashuka kama jiwe puuu!
Duh! Ndo ufike juu halafu uchungulie chini unaona kama linayumbaKuna siku mtu alikua ananivuta tukapande lift, mi naogopa nimeshika chuma ananivuta yani nlikua kama ndio nimeingia mjini siku hiyo....
wewe ni ke au Me?Bora hiyo ila vipi likigoma unashuka kama mshale pyuuuuu
Weed ndo nini?uwe unakula weed before flying........utakuwa poa sana..
lift huogopiSio wewe Tu.
Mimi hata kupanda gorofani naogopa.
Mkuu unaweza kuelezea japo kwa kifupi ilikuwaje?Kuna kitu kinaitwa "airplane turbulence ni shida," hapa watu huwa wanajinyea wanazimia na wengine kutoa mkojo bila taarifa, wale walioenda Brazil kutokea Dubai watanielewa! Siwezi sahau kombe la dunia 2014 Brazil.Nilipotua home hata pasipoti sikumbuki niliiweka wapi. Ukisikia bahati nasibu sijui ukishinda sijui upelekwe wapi kataa chukua hela!
Ngoja tumgonjeMkuu unaweza kuelezea japo kwa kifupi ilikuwaje?
lift huogopi