Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Habari zenyu, poleni na majukumu
Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story story na maswali ya shuleni ya hapa na pale, in short sikuwa na interest nacho.
2026 nimerudi ila nilipita Kwa mtu wangu ajira mpya mkoani😃😃🙌 nilivumilia ila mwisho nilishindwa nikamtia vitasa then nikaamua kuja Dsm. Baada ya kupitia mikanganyiko ya Hapa na pale+ugomvi na baby mama wangu nikaamua kukimbilia dar, nianze life upya japo maumivu hayaepukiki ila kiume nakaza as nothing goes on my mind.
Nimerudi mitaa hii nikawa nimeweza kukutana nacho tena safari hii, ngozi imekua laini, dimpoz-mwili teketeke alooo, kamenichangamkia kiasi Jana nlifunguka ya moyoni ....aibu aibu mwisho kalijubu YES.
ILinibidi nifanye hivyo coz tayari alishanipa ratiba zake kuwa siku yupo free ni jumapili tu, na alikuwa tayari tutoke, kuona vile nkawahi kuomba ili akizngua ncancell mtoko kuepusha gharama zsizo za lazima.
Mpaka sasa kila kitu Kiko well arranged ila wakuu dar siijui vizuri na msaada naohtaji kwenu ni kuniekekeza sehemu nzuri bei kitonga na mazingira rahisi kuchakata tunda la huyu Binti (18yrs)
Karibuni, MAWAZO yenu ni muhimu
Naomba kujua sehemu, features zake na cost
Asanteni
Ni hatari hata yeye mwenyewe akisema ajitoe out na hiyo pesa akakae sehemu ale chakula na vinywaji haitoshiAiseee ,life lenyewe la kuunga unga then unataka kumtoa mtoto wa watu na elfu 25? Jipate kwanza ndiyo uanze uzinzi ,sasa elfu 25 hata ya Bolt haitoshi kwenda na kurudi.
Ukitaka kula kondooo kula aliyenona ,ukitaka kufanya starehe uwe na pesa.
Mkuu nisave gheto leo nichakate mtoto anatoka mbagala nipo riverside1. Unahitaji lodge, kwa Dar angalau 25k kwenda juu nje kabisa ya town, classic kabisa atleast 40k.
2. Lazima mtakula na kunywa. Hapo angalau 20k.
3. Nauli angalau 10k.
4. Atataka hela ya kusuka, au ya zawadi kumzugia mdogo wake kwao. Angalau 20k.
Jumlisha: 75-90k.
Private ghetto itaokoa 80%
Kama upo mitaa ya Ubungo nikuazime Ghetto.
Aiseee ,life lenyewe la kuunga unga then unataka kumtoa mtoto wa watu na elfu 25? Jipate kwanza ndiyo uanze uzinzi ,sasa elfu 25 hata ya Bolt haitoshi kwenda na kurudi.
Ukitaka kula kondooo kula aliyenona ,ukitaka kufanya starehe uwe na pesa.
Kabisa ,anazingua hiyo 25 labda angekuwa na ghetto akanunua kiepe yai ,kidali na soda(6,500/=) na yeye akajinunulia wali nyama(2,500/=) na maji Lita moja na nusu(1,000/=) kisha inayobaki hiyo 15,000/= ampe manzi.Ni hatari hata yeye mwenyewe akisema ajitoe out na hiyo pesa akakae sehemu ale chakula na vinywaji haitoshi
Halafu baadae akipungukiwa nguvu kwasababu ya stress ataona watu wabaya.Hawaoni wenzake hua wanakutania pale limara mwisho darajani jioni ? 😀
Au hua anazani ni wakuja, Uchumi ukikuchumu kubali tu, otherwise utauguza bichwa tu
Halafu baadae akipungukiwa nguvu kwasababu ya stress ataona watu wabaya.
Ukitaka uienjoy mtoko uwe na KIBUNDA.
Bajeti yako sh ngapi?
Hapo ni akili kumkichwa,
nishawahi mpeleka mtoto wa kiarabu kwenye supu ya MAPUPU na aliinjoi kinyaaama
Panda a Tegeta au bunjuNapajua coco beach tu, mbezi beach napanda mgari yanayoenda wapi mkuu
Bodaa watanichaji parefu😃😃ukizngatia Hali ni tete
NIKOPESHE😁😁
Sure ,atleast awe na "JIWE" aka "KILO' aka "BOX" ndiyo afanye mambo ya mtoko.Ukiwa na budget chini ya 100k usitoke na Manzi out na baadae kumalizana nae Lodge.
Ni kujiaibisha.
Na ukiwa na 50k basi Labda out iwe for drinks na kula.
Wee kuweza???
Katafute hela kijana wacha kutania watu.😁😁 Current balance 25k
Na plan yangu kama kakieleweka, nijue joto lake, ongezea nyama mkuu naweza kupata room for show time maeneo hayo, literally hakana njaa ya pesa...
[emoji23][emoji23][emoji23]Huu mkeka mbon kama huo mkeka unaenda kuungua [emoji3][emoji3].
Peleka hilo toto beach likale mihogo, Ukila denda na kuweka vidole tu inatosha.
Punguza genye.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa ,anazingua hiyo 25 labda angekuwa na ghetto akanunua kiepe yai ,kidali na soda(6,500/=) na yeye akajinunulia wali nyama(2,500/=) na maji Lita moja na nusu(1,000/=) kisha inayobaki hiyo 15,000/= ampe manzi.
[emoji23][emoji23][emoji23]labda coco
so far
Taja zinapopatikana hizo bnb na gharama zake.Tafuta BnB moja safii
Mkitaka mnapika wenyewe au mna toka mnaenda kula kunywa mkirudi mnalala kila la kheri mkuu
Pimeni afya