connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
Huna hela kaa geto usubiri posaNyoosha maelezo, unataka guest, lodge, hotel..? Au unataka restaurant mtoto akale vipilau kabla ya uzinzi..?
Budget yako ya bei rahisi ndo ngapi kwanza maana bei rahisi hata 1M ni rahisi kwa wengine.
Sasa mimi ndo muandika post..?Huna hela kaa geto usubiri posa
Airbnb zipo na bei zinatofautiana kulingana na eneo husika Mkuu Mfano, maeneo kama Masaki na Mikocheni mara nyingi bei zake huwa juu kidogo kutokana na mazingira na huduma zilizopo Lakini kama unataka kupata sehemu za bei nafuu zaidi unaweza kuangalia maeneo kama wilaya ya Temeke au sehemu zingineTaja zinapopatikana hizo bnb na gharama zake.
๐๐๐๐Akachakatie kwenye public beach kweli..? Haha
Unautoto mwingi Sana kamandaKule kukoje, natamani nipate sehemu ambayo ntakaa naye kdog story za hapa na pale kuzuga mwisho niombe privacy zaidi na yeye
Ahsante, japo nilifikiri utanitajia ranges za bei.Airbnb zipo na bei zinatofautiana kulingana na eneo husika Mkuu Mfano, maeneo kama Masaki na Mikocheni mara nyingi bei zake huwa juu kidogo kutokana na mazingira na huduma zilizopo Lakini kama unataka kupata sehemu za bei nafuu zaidi unaweza kuangalia maeneo kama wilaya ya Temeke au sehemu zingine
Uzuri wa Airbnb ni kwamba mazingira yake yanakuwa kama nyumbani kabisa Unaweza kupika chai kahawa,au chakula chochote mkitaka yani unapata comfort ya home nNi sehemu nzuri kwa mtu anayependa utulivu privacy very classic
Hii nzuri kwa mtu asiependa heka heka na anapenda vitu vizuri so jaribu kuingia hata mtandaoni uone eneo ulipo au unalotamani kufanyia kazi yako kuna hiyo huduma maeneo hayo asante๐
Wewe upo wapAh
Ahsante, japo nilifikiri utanitajia ranges za bei.
Nikuokotee mawe? ๐น๐น๐นNyoosha maelezo, unataka guest, lodge, hotel..? Au unataka restaurant mtoto akale vipilau kabla ya uzinzi..?
Budget yako ya bei rahisi ndo ngapi kwanza maana bei rahisi hata 1M ni rahisi kwa wengine.
Imebidi nivue miwani na niongeze mwanga wa simu..!! Ni wewe kaaka?? ๐น๐น๐นWewe upo maeneo gani ili tukutajie lodge zilizo maeneo ya karibu na wewe..?
Huyo hutakiwi umnunulie hata maji, maana kwa balance yako hio ni inabidi straight to bed na umkunje kweli ili asikose hela na show nzuri kwa pamoja. Maskini msingi wetu kiuno.
Taja viwanja vya DarWewe upo wap
Unataka tutangaze biashara za watu bila malipo mkuu?Habari zenyu, poleni na majukumu
Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story story na maswali ya shuleni ya hapa na pale, in short sikuwa na interest nacho.
2026 nimerudi ila nilipita Kwa mtu wangu ajira mpya mkoani๐๐๐ nilivumilia ila mwisho nilishindwa nikamtia vitasa then nikaamua kuja Dsm. Baada ya kupitia mikanganyiko ya Hapa na pale+ugomvi na baby mama wangu nikaamua kukimbilia dar, nianze life upya japo maumivu hayaepukiki ila kiume nakaza as nothing goes on my mind.
Nimerudi mitaa hii nikawa nimeweza kukutana nacho tena safari hii, ngozi imekua laini, dimpoz-mwili teketeke alooo, kamenichangamkia kiasi Jana nlifunguka ya moyoni ....aibu aibu mwisho kalijubu YES.
ILinibidi nifanye hivyo coz tayari alishanipa ratiba zake kuwa siku yupo free ni jumapili tu, na alikuwa tayari tutoke, kuona vile nkawahi kuomba ili akizngua ncancell mtoko kuepusha gharama zsizo za lazima.
Mpaka sasa kila kitu Kiko well arranged ila wakuu dar siijui vizuri na msaada naohtaji kwenu ni kuniekekeza sehemu nzuri bei kitonga na mazingira rahisi kuchakata tunda la huyu Binti (18yrs)
Karibuni, MAWAZO yenu ni muhimu
Naomba kujua sehemu, features zake na cost
Asanteni
Mtafute Mpwayungu ana story zake za kulala manzese kwenye guest za bei ndogo atakuelekeza..!!๐๐ Current balance 25k
Na plan yangu kama kakieleweka, nijue joto lake, ongezea nyama mkuu naweza kupata room for show time maeneo hayo, literally hakana njaa ya pesa...
Hii ni meme nakataa Eze ๐นUzinzi ๐
๐น๐น๐น๐น JF hapa ndo inaponichosha wallahi khaaaaa!!!Napajua coco beach tu, mbezi beach napanda mgari yanayoenda wapi mkuu
Bodaa watanichaji parefu๐๐ukizngatia Hali ni tete
NIKOPESHE๐๐
Chai ๐น๐น๐นBajeti yako sh ngapi?
Hapo ni akili kumkichwa,
nishawahi mpeleka mtoto wa kiarabu kwenye supu ya MAPUPU na aliinjoi kinyaaama