Wadau hali vipi?Poleni kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja nawasilisha swali ambalo kwa muda sijapata jawabu lake.kuna huyu msemo ambao wanamuziki wanapenda kuutumia sana "kumwaga radhi". Hivi ni nini maana yake ?naomba ufafanuzi tafadhali nisije nikavuruga lugha yetu pendwa kwa kuutumia kusiko.
Kwenu wadau.