Naombeni ufafanuzi katika hili

Naombeni ufafanuzi katika hili

desmond dekker

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
201
Reaction score
245
Wadau hali vipi?Poleni kwa majukumu ya kila siku.

Moja kwa moja nawasilisha swali ambalo kwa muda sijapata jawabu lake.kuna huyu msemo ambao wanamuziki wanapenda kuutumia sana "kumwaga radhi". Hivi ni nini maana yake ?naomba ufafanuzi tafadhali nisije nikavuruga lugha yetu pendwa kwa kuutumia kusiko.

Kwenu wadau.
 
Mniwie radhi ambapo nimeandika ( kuna "huyu") si mnafahamu hizi autocorrect za hizi simu jamani?
 
Back
Top Bottom