Naombeni ufafanuzi kauli ya "Mshahara wa dhambi ni mauti"

Mshahara wa dhambi ni mauti kweli japo sometimes naye Mungu anabidi akumbushwe kutimiza wajibu wake.

Ila sema hapa kidogo tu Sheikh Kishki alimchanganya Allah hakuwa specific hakusema Ramadhani ya mwaka gani.

View attachment 3251011
Inategemea anayeomba Ni Nani, shehe hawezi omba mtu akafa.
 
Kuna mtu Apo juu pia kauliza
"Kama mshahara wa dhambi ni mauti, Mbona Shetani mwanzilishi wa dhambi yupo hai mpaka leo?"
Shetani ni roho isiyo na mwili. Roho haiwezi kufa hata siku moja. Hivyo shetani amekaa hivyo hivyo akisubiri mauti ambayo itaanza pale Yesu atakaporudi. Kumbuka mauti sio ya siku moja, ni ya milele kama ulivyo uzima wa milele. Tofauti ni kuwa mauti ni mateso makali sana na uzima wa milele ni furaha kubwa sana

Asante
 
Wakuu,
Nna maswali kadhaa najiuliza:-
1. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Ina maana TULIOWAZIKA WOTE NI WATENDA DHAMBI

2. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Kwaiyo WASIO NA DHAMBI HAWAFI?

3.Kama mshahara WA dhambi ni mauti, Je Zinazungumziwa dhambi aina zote ndo zinapelekea kifo au Kuna dhambi specific ambazo mtu akizifanya anaadhibiwa kwa kifo?

4. Dhambi zinazoongelewa kwenye huo msemo ni kitu gani hasa,

Je dhambi maana ake ni kuvunja TU zile AMRI 10 za Mungu au kuna AMRI nyingine zaidi ya zile 10?

Mbona inasekana pia kua
-ULAFI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UCHOYO ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UBAHILI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UNAFIKI ni dhambi,Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo.

NAOMBA KUULIZA PIA,
"uchawa" vipi, Hivi nao sio dhambi?

Nawasilisha🙏
Mshahara wa dhambi Ni mauti lkn sio mauti hii ya kufa mwili Bali Ni kuua mwili na roho.

Kwenye amri kumi Kuna dhambi tunaona kama hazipo lkn zipo vizuri tu. Mfano kuzini, hii inajumuisha uzinzi, uasherati, ubakaji, ugoni, ushoga, usagaji nk. Vilevile kuua kumegawanyika pia kutishia kuua, kupanga njama za mauaji,nk. Waheshimu baba na mama. Lolote analokukataza mzazi Ni kosa sigara, bhangi nk.
 
Wakuu,
Nna maswali kadhaa najiuliza:-
1. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Ina maana TULIOWAZIKA WOTE NI WATENDA DHAMBI

2. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Kwaiyo WASIO NA DHAMBI HAWAFI?

3.Kama mshahara WA dhambi ni mauti, Je Zinazungumziwa dhambi aina zote ndo zinapelekea kifo au Kuna dhambi specific ambazo mtu akizifanya anaadhibiwa kwa kifo?

4. Dhambi zinazoongelewa kwenye huo msemo ni kitu gani hasa,

Je dhambi maana ake ni kuvunja TU zile AMRI 10 za Mungu au kuna AMRI nyingine zaidi ya zile 10?

Mbona inasekana pia kua
-ULAFI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UCHOYO ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UBAHILI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UNAFIKI ni dhambi,Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo.

NAOMBA KUULIZA PIA,
"uchawa" vipi, Hivi nao sio dhambi?

Nawasilisha🙏

Ndugu DeePond Naona uko mbali sana. Ila kifupi ni kuwa dhambi iko katika KUTO Kumpenda Mungu kuliko vitu vyote na Jirani yako kama nafsi yako.Mauti hapa ni neno pana kidogo.Siyo kufa peke yake kwa mwili pia na roho yako.Ukifariki mwenye dhambi basi unakufa mara mbili yaani roho na mwili.Ukiishinda dhambi kabla ya kufa.ujue utakufa mara moja tu.yaa mwili.

iko hivi:ukizaliwa mara mbili utakufa mara moja.na ukizaliwa mara moja utakufa mara mbili

Kama vile nimekuchanganya zaid sijui.

Lakini huo ndiyo ukweli.
 
Wakuu,
Nna maswali kadhaa najiuliza:-
1. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Ina maana TULIOWAZIKA WOTE NI WATENDA DHAMBI

2. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Kwaiyo WASIO NA DHAMBI HAWAFI?

3.Kama mshahara WA dhambi ni mauti, Je Zinazungumziwa dhambi aina zote ndo zinapelekea kifo au Kuna dhambi specific ambazo mtu akizifanya anaadhibiwa kwa kifo?

4. Dhambi zinazoongelewa kwenye huo msemo ni kitu gani hasa,

Je dhambi maana ake ni kuvunja TU zile AMRI 10 za Mungu au kuna AMRI nyingine zaidi ya zile 10?

Mbona inasekana pia kua
-ULAFI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UCHOYO ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UBAHILI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UNAFIKI ni dhambi,Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo.

NAOMBA KUULIZA PIA,
"uchawa" vipi, Hivi nao sio dhambi?

Nawasilisha🙏
Mauti ni hali ya kukosa uzima wa kiroho ndani ya mtu. Unaweza ukawa unatembea duniani lakini rohoni mwako hamna uzima. Yani huna ushirika na Mungu.

Kifo kwa mwanadamu ni kitendo cha roho kuhama ulimwengu kutoka huu ulimwengu wa mwili kuingia ulimwengu ulioruhusiwa kuishi bila mwili huu wa nyama.

Yako madhara ya dhambi yanayowapata hata ambao hawajaifanya hiyo dhambi, mfano kufa, kuzaa kwa uchungu n.k. Na pia yako madhara ya moja kwa moja kwa aliyeitenda tu.

Msingi wa amri 10 ulikuwa ni kuandaa Taifa la Israeli, hawa walitoka utumwani hawana sheria/katiba ilibidi Mungu atoe mwongozo ndo zikaja amri 10. Japo amri 10 ni takatifu lakini hatupaswi kuishi kwa viwango vya kufuata amri 10. Viwango vya mtakatifu ni zaidi ya amri 10. Ni kuishi kwa kumruhusu Yesu Kristo aingie moyoni mwako naye atakupa neema ya kushinda dhambi na kuishi maisha yampendezayo Mungu.

Hivyo huna haja ya kuwa na checklist ya dhambi za kukwepa unachohitaji ni kukubali wokovu wa Yesu Kristo kwa imani
naye ni mwaminifu atakupa Roho wake atakayekufundisha neno la Mungu na kukutia nguvu za kuwa mtakatifu.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti kweli japo sometimes naye Mungu anabidi akumbushwe kutimiza wajibu wake.

Ila sema hapa kidogo tu Sheikh Kishki alimchanganya Allah hakuwa specific hakusema Ramadhani ya mwaka gani.

View attachment 3251011
Shetani akikushindwa anakuletea mdada mweupe mwenye shape akuite bff
 
Wakuu,
Nna maswali kadhaa najiuliza:-
1. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Ina maana TULIOWAZIKA WOTE NI WATENDA DHAMBI

2. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Kwaiyo WASIO NA DHAMBI HAWAFI?

3.Kama mshahara WA dhambi ni mauti, Je Zinazungumziwa dhambi aina zote ndo zinapelekea kifo au Kuna dhambi specific ambazo mtu akizifanya anaadhibiwa kwa kifo?

4. Dhambi zinazoongelewa kwenye huo msemo ni kitu gani hasa,

Je dhambi maana ake ni kuvunja TU zile AMRI 10 za Mungu au kuna AMRI nyingine zaidi ya zile 10?

Mbona inasekana pia kua
-ULAFI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UCHOYO ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UBAHILI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo

-UNAFIKI ni dhambi,Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo.

NAOMBA KUULIZA PIA,
"uchawa" vipi, Hivi nao sio dhambi?

Nawasilisha🙏
MAUTI inaweza kuwa hata ya UCHUMI....ile hali umefanya uasherati au uzinzi na dhamira yako inakusuta wazi wazi pale unapotoka Guest ile haya na aibu ndio umauti wenyewe,,,,tayari unakuwa umeshakufa rohoni na matokeo yake yatadhihirika mwilini mdogomdogo kama vile unampiga kwenzi kinyago.
 
Back
Top Bottom