Inategemea anayeomba Ni Nani, shehe hawezi omba mtu akafa.Mshahara wa dhambi ni mauti kweli japo sometimes naye Mungu anabidi akumbushwe kutimiza wajibu wake.
Ila sema hapa kidogo tu Sheikh Kishki alimchanganya Allah hakuwa specific hakusema Ramadhani ya mwaka gani.
View attachment 3251011
Shetani ni roho isiyo na mwili. Roho haiwezi kufa hata siku moja. Hivyo shetani amekaa hivyo hivyo akisubiri mauti ambayo itaanza pale Yesu atakaporudi. Kumbuka mauti sio ya siku moja, ni ya milele kama ulivyo uzima wa milele. Tofauti ni kuwa mauti ni mateso makali sana na uzima wa milele ni furaha kubwa sanaKuna mtu Apo juu pia kauliza
"Kama mshahara wa dhambi ni mauti, Mbona Shetani mwanzilishi wa dhambi yupo hai mpaka leo?"
Mshahara wa dhambi Ni mauti lkn sio mauti hii ya kufa mwili Bali Ni kuua mwili na roho.Wakuu,
Nna maswali kadhaa najiuliza:-
1. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Ina maana TULIOWAZIKA WOTE NI WATENDA DHAMBI
2. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Kwaiyo WASIO NA DHAMBI HAWAFI?
3.Kama mshahara WA dhambi ni mauti, Je Zinazungumziwa dhambi aina zote ndo zinapelekea kifo au Kuna dhambi specific ambazo mtu akizifanya anaadhibiwa kwa kifo?
4. Dhambi zinazoongelewa kwenye huo msemo ni kitu gani hasa,
Je dhambi maana ake ni kuvunja TU zile AMRI 10 za Mungu au kuna AMRI nyingine zaidi ya zile 10?
Mbona inasekana pia kua
-ULAFI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo
-UCHOYO ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo
-UBAHILI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo
-UNAFIKI ni dhambi,Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo.
NAOMBA KUULIZA PIA,
"uchawa" vipi, Hivi nao sio dhambi?
Nawasilisha🙏
Wakuu,

Mauti ni hali ya kukosa uzima wa kiroho ndani ya mtu. Unaweza ukawa unatembea duniani lakini rohoni mwako hamna uzima. Yani huna ushirika na Mungu.Wakuu,
Nna maswali kadhaa najiuliza:-
1. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Ina maana TULIOWAZIKA WOTE NI WATENDA DHAMBI
2. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Kwaiyo WASIO NA DHAMBI HAWAFI?
3.Kama mshahara WA dhambi ni mauti, Je Zinazungumziwa dhambi aina zote ndo zinapelekea kifo au Kuna dhambi specific ambazo mtu akizifanya anaadhibiwa kwa kifo?
4. Dhambi zinazoongelewa kwenye huo msemo ni kitu gani hasa,
Je dhambi maana ake ni kuvunja TU zile AMRI 10 za Mungu au kuna AMRI nyingine zaidi ya zile 10?
Mbona inasekana pia kua
-ULAFI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo
-UCHOYO ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo
-UBAHILI ni dhambi, Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo
-UNAFIKI ni dhambi,Ila kwenye zile AMRI 10 za Mungu haimo.
NAOMBA KUULIZA PIA,
"uchawa" vipi, Hivi nao sio dhambi?
Nawasilisha🙏
Shetani akikushindwa anakuletea mdada mweupe mwenye shape akuite bffMshahara wa dhambi ni mauti kweli japo sometimes naye Mungu anabidi akumbushwe kutimiza wajibu wake.
Ila sema hapa kidogo tu Sheikh Kishki alimchanganya Allah hakuwa specific hakusema Ramadhani ya mwaka gani.
View attachment 3251011
MAUTI inaweza kuwa hata ya UCHUMI....ile hali umefanya uasherati au uzinzi na dhamira yako inakusuta wazi wazi pale unapotoka Guest ile haya na aibu ndio umauti wenyewe,,,,tayari unakuwa umeshakufa rohoni na matokeo yake yatadhihirika mwilini mdogomdogo kama vile unampiga kwenzi kinyago.Wakuu,