The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Kwema wakuu,
Mkataba wangu uliisha nikaona nikachukue mafao yangu NSSF nikakamilisha taratibu zote.
Wakaniambia ni Subiri week 3
Sasa kabla ya week nikaona hela imengia Sema ilikua ni ndogo saana ila wameandika NSSF Ilala Transaction type CREDIT Ila nimeangalia account yangu salio liko pale pale Kuna mtu anaweza nitolea ufafanuzi.
Yaani wameweka hela ndogo sio hela ninayo wadai nimeshindwa kuelewa.
Asanteni.