Naombeni ufafanuzi kuhusu NSSF ili niweze kuchukua mafao yangu

Naombeni ufafanuzi kuhusu NSSF ili niweze kuchukua mafao yangu

Sasa hv h

Sasa hvi hiyo 33% wanaitoa kwa miezi sita tu then unasubiri miezi 18 kama hujapata kazi ndio unalipwa pesa yote. Mtoa mada alitakiwa atuambie yeye ni skilled au unskilled, cse unskilled wanapewa immediately, bali skilled below 45 tunaamini ana uwezo wa kupata kazi sehemu nyingine, so aendelee kutafuta kazi. Ila ufafanuzi mzuri ataupata huko huko nssf kwenyewe
Mimi ni skilled nimeenda kwao wakaniambia hvo
 
Huyu issue yake atakuwa kapewa fao la kukosa ajira kwahyo anapata 0.33% ya mshahara alio kuwa analipwa. Atakuwa analipwa kila mwezi mpaka miezi 12 kama atakuwa hajapata kazi nyingine basi atapewa mafao yake minus zile alizolipwa kwa mwaka mzima. Kama ikitokea kapata kazi basi ataendelea kuchangia pale alipo ishia.
Hawalipi hata hizo mkuu
 
Mimi wamenilipa juzi milion 1 kwa mshahara wa laki 5 pa1 na makato, nimeuliza uliza naskia hawataniwekea tena hadi miezi 18 ipite ndo nifuatilie hiyo pesa iliyobaki. Nadhani hiyo walioweka ndio asilimia 33% kwa jumla ya miezi sita,... Mwenye uelewa zaidi tafadhali??!!!
 
Back
Top Bottom