The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Maelezo yako hayaja kamilika mkuu.Kwema wakuu.
Mkataba wangu uliisha nikaona nikachukue mafao yangu NSSF nikakamilisha taratibu zote.
Sasa nikaona hela imengia Sema ilikua ni ndogo saana ila wameandika NSSF Ilala Transaction type CREDIT Ila nimeangalia account yangu salio liko pale pale Kuna mtu anaweza nitolea ufafanuzi.
Asanteni
Ulikua unataka kufahamu nini zaidi mkuu nikuelezeeMaelezo tako hayaja kamilika mkuu.
Ebu jaribu kujieleza uzuri na ufafanuzi uwe mujarab.
Bado maswali ni mengi kuliko jibu unalo litaka.
Miaka ni mitatuMiaka uliyofanya kazi na kiwango cha mshahara wako ili ufafanuliwe vema
Miaka ni mitatuMiaka tafadhali
Nina hadi app yakeIngia website y nssf, then jisajili. Utapata details zote kwenye account yako. Na formula ya mafao yako wamekuwekea. Jiongeze!!!
1. Ulipo fungua madai, unauhakika michango ilio ahinishwa kwenye fumu ya muajiri wako ilikua na hesabu kamili ya nadai yako?Ulikua unataka kufahamu nini zaidi mkuu nikuelezee
UMri wako ndio wanaangalia hicho kigezo cha kwanza halafu ulikuwa unatakajeMiaka ni mitatu
Huyu issue yake atakuwa kapewa fao la kukosa ajira kwahyo anapata 0.33% ya mshahara alio kuwa analipwa. Atakuwa analipwa kila mwezi mpaka miezi 12 kama atakuwa hajapata kazi nyingine basi atapewa mafao yake minus zile alizolipwa kwa mwaka mzima. Kama ikitokea kapata kazi basi ataendelea kuchangia pale alipo ishia.1. Ulipo fungua madai, unauhakika michango ilio ahinishwa kwenye fumu ya muajiri wako ilikua na hesabu kamili ya nadai yako?
2. Je, kiasi kilicho jazwa na muajiri wako wa mwisho ulihakikisha vipi kwamba ndio kiasi exactly na kilichokua kwenye akaunti yako ya kwenye mfuko wa shirika la hifadhi ya jamii??
3. Wakati unafungua madai Nssf, waliku hakikishia kwamba michango yako yote ipo?
4. Je haukuwahi kuunganisha michango yako kutoka kwa waajiri wako wawili ama na zaidi tofauti?
5. Je michango yako haijawahi kuhamishwa kutoka PPF na kwenda NSSF ama NSSF kwenda PPF ama kinyume chake?
6. Una umri wa miaka mingapi?
7. Je nimiaka mingapi imepita tangia ulipo anza contribution yako ya kwanza na ilikua mfuko gani?
Kwa mfano ni laki tano kwa mwezii atakuwa anapewa 19800 kila mwezi. Je ina msaada wowote. Vipi uo ndio utaratibu wao amaHuyu issue yake atakuwa kapewa fao la kukosa ajira kwahyo anapata 0.33% ya mshahara alio kuwa analipwa. Atakuwa analipwa kila mwezi mpaka miezi 12 kama atakuwa hajapata kazi nyingine basi atapewa mafao yake minus zile alizolipwa kwa mwaka mzima. Kama ikitokea kapata kazi basi ataendelea kuchangia pale alipo ishia.
Itakusaidia kwenye stationary nauli kama ukiitwa kwenye usaili, kununua vocha na mengine alafu hyo ulio andika wewe ni elfu kumi na tisa mianane badala ya laki moja tisini na nane elfu.Kwa mfano ni laki tano kwa mwezii atakuwa anapewa 19800 kila mwezi. Je ina msaada wowote. Vipi uo ndio utaratibu wao ama
Kwema wakuu.
Mkataba wangu uliisha nikaona nikachukue mafao yangu NSSF nikakamilisha taratibu zote.
Wakaniambia ni Subiri week 3
Sasa kabla ya week nikaona hela imengia Sema ilikua ni ndogo saana ila wameandika NSSF Ilala Transaction type CREDIT Ila nimeangalia account yangu salio liko pale pale Kuna mtu anaweza nitolea ufafanuzi.
Yaani wameweka hela ndogo sio hela ninayo wadai nimeshindwa kuelewa
Asanteni
Sasa hv hHuyu issue yake atakuwa kapewa fao la kukosa ajira kwahyo anapata 0.33% ya mshahara alio kuwa analipwa. Atakuwa analipwa kila mwezi mpaka miezi 12 kama atakuwa hajapata kazi nyingine basi atapewa mafao yake minus zile alizolipwa kwa mwaka mzima. Kama ikitokea kapata kazi basi ataendelea kuchangia pale alipo ishia.
Sasa hvi hiyo 33% wanaitoa kwa miezi sita tu then unasubiri miezi 18 kama hujapata kazi ndio unalipwa pesa yote. Mtoa mada alitakiwa atuambie yeye ni skilled au unskilled, cse unskilled wanapewa immediately, bali skilled below 45 tunaamini ana uwezo wa kupata kazi sehemu nyingine, so aendelee kutafuta kazi. Ila ufafanuzi mzuri ataupata huko huko nssf kwenyeweHuyu issue yake atakuwa kapewa fao la kukosa ajira kwahyo anapata 0.33% ya mshahara alio kuwa analipwa. Atakuwa analipwa kila mwezi mpaka miezi 12 kama atakuwa hajapata kazi nyingine basi atapewa mafao yake minus zile alizolipwa kwa mwaka mzima. Kama ikitokea kapata kazi basi ataendelea kuchangia pale alipo ishia.