Naombeni ufafanuzi kuhusu NSSF ili niweze kuchukua mafao yangu

Mimi ni skilled nimeenda kwao wakaniambia hvo
 
Hawalipi hata hizo mkuu
 
Kwa mfano ni laki tano kwa mwezii atakuwa anapewa 19800 kila mwezi. Je ina msaada wowote. Vipi uo ndio utaratibu wao ama
Hata hiyo hawatoi, mimi ni mhanga wa issue kama hiyo
 
Mimi wamenilipa juzi milion 1 kwa mshahara wa laki 5 pa1 na makato, nimeuliza uliza naskia hawataniwekea tena hadi miezi 18 ipite ndo nifuatilie hiyo pesa iliyobaki. Nadhani hiyo walioweka ndio asilimia 33% kwa jumla ya miezi sita,... Mwenye uelewa zaidi tafadhali??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…