Naombeni ufafanuzi wa hii profile picture ya 'BANNED'!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Nimeona baadhi ya watu wameweka hii profile picture... Sio mtu mmoja ni watu kadhaa. Je hii ni movement mpya kama ile ya Makapuku forums au? Kwa nini wote waweke picha inayofanana?
Je nikitaka kujiunga kwenye hii 'movement' ninapitia hatua gani? Naombeni kujuzwa tafadhali...


 
Tukana matusi mazito hapo chini utafanikiwa kujiunga na hiyo "movement"

 
Mungu wangu kimeo hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…