Naombeni ufafanuzi wa hii profile picture ya 'BANNED'!

Naombeni ufafanuzi wa hii profile picture ya 'BANNED'!

Hiyo ni movement, ukiitaka waombe tu, very simpo, fanya kile ambacho hutakiwi kukifanya hadharani
 
I download kisha iweke kama picha yako mbona simple tu
 
mbona wengine wana hiyo picture lakini wanachangia kama kawaida?
 
Back
Top Bottom