Naombeni ufafanuzi wa hii profile picture ya 'BANNED'!

Naombeni ufafanuzi wa hii profile picture ya 'BANNED'!

Ukiona hivo ujue MTU kafungiwa,mie tu nimerudi hana baada ya kibano cha siku kashaa
 
Hayo maandishi jinsi walivyo yaremba sasa yaani rangi nyeupe na nyekundu zimeoana vizuri kwa kweli inapendeza ila sio ya kuomba kukutana nayo.
 
Back
Top Bottom