Chuo kizuri ni MWEKA kipo Moshi KilimanjaroIyo kazi nzuri ukiajiriwa serikalin mana ndo kuna maisha huko si mchezo ndo matanapa huko ila kuajiriwa serikalin ndo ishu kujiajir labda uwe tour guide kinyume na hapo sijui utajiajir vp yaan na chuo kizur n mwika au hata sua sio mbaya
Kivip broh [emoji848] naomba madini hayoApart from utalii kuna namna ukijiongeza zaidi unaweza liajiri kwenye shughuli za uhifadhi, hapa wengi bado wazito ila ukichanga karata zako vizuri basi unakuwa umehit jackpot. Hii nitakuja kuuanzishia uzi wake special kabisa, ngoja nimalizie hii chupa ya safari lager kwanza.
hahah kasome kwanza mkuu kwa sasa haitakusaidia kitu, unless ungekuwa graduant wa hii course ingekuwa inamatter kidogo. Kiufupi wenzetu rangi nyeupe linapokuja swala la uhifadhi wa mazingira, natural resources, climate change etc. currently kuna individuls na mashirika wana hela ambazo wanahitaji kufanya jambo katika hizo area so ni kwa namna gani unaweza kuzipata hizo pesa ndio ninachokizungumza, you get my point? Mimi nimeinvest muda na rasilimali nyingine katika kuhakikisha naconnect huo mrija wa pesa kwangu and it pay me off. Inahitaji nguvu, akili na uvumilivu though.Kivip broh [emoji848] naomba madini hayo
Management tourism ndiyo kozi gani boss?Habarizenu wanajukwaa,
Naombeni ufafanuzii kuhusu course tajwa hapo juu kuhusiana na kazi zakufanya baada ya kumaliza masomo chuona, chuo kipi Bora hapa Tanzania katika utoaji wa course tajwa hapo juu, upatikanaji wa ajira na je ninawezaje kujiajiri katika hyo course. Naomba kuwasilisha.