Naombeni updates za barabarani kutokea Dar kwenda Moshi

Naombeni updates za barabarani kutokea Dar kwenda Moshi

Habari wana JF
Naomba kujua maeneo walipo traffic wa barabarani

-Torch
-Checkpoint.

Barabara ya Moshi-Dar
Asanteni
wapo kiwangwa mbele pale, sijui jina la kile kijiji ila wale ni Polisi tu , check point ya mazao iko pale Kiwangwa mjini, ukitoka hapo barrier nyingine kama ni usiku utakutana nayo pale Polisi Mkata, wale wako barabarani wale wana deal na malori zaidi ila hata magari madogo sometimes wanacheki, ukitoka hapo check point nyingine utakutana nayo pale mbele ya Korogwe, karibu na hotel ya Mabasi ya Kilimanjaro, nyingine ambayo wanakagua sana iko kabla ya kufika Mombo nadhani ni chekelei (check Rail/Train)pale na nyingine iko mbele ya kupita Mombo hasa usiku, panaitwa Liverpool. Baada ya hapo utakutana nao Same ila hawana sumu sana
 
U

Umesahau kabuku ngoma ngumu pale

Ova
 
Kama una pita njia ya bagamoyo ukikaribia mwetemo masuguru anza kuendesha kimasta
 
Unataka kufanya uhalifu gani?
Polisi endeleeni kuwa MAKINI.
Hahaha hmna mkuu kma imekutokea utajua nini maana ya kujua walipo mapema
Lets say umepigwa torchi unaonekana ume over speed
Lakini kibao cha mwisho ulivotoka kilikuonesha usizidi labda 40km/hr kibao umekiacha nyuma karibu 5km
Sasa kwel ni haki kwel km zote izo kw speed ya 40
 
Habari wana JF
Naomba kujua maeneo walipo traffic wa barabarani

-Torch
-Checkpoint.

Barabara ya Moshi-Dar
Asanteni
Huna haya ya kujuwa traffic wako wapi, fuata sheria angalia alama za barabarani hasa vibao vya speed na mistari ya overtake au usiover take huwezi kukamatwa hata siku moja na ukisimamishwa ni ukaguzi wa kawaida tu unaruhusiwa hutoi hata senti tano.

Hakikisha gari lako lina sifa za kuwa barabarani kabla safari.
 
Kwanini unasafiri na mateso yote hayo,si ungesafiri usiku uwe unanyoosha tu kwa raha zako...
 
Back
Top Bottom