Naombeni updates za barabarani kutokea Dar kwenda Moshi

Kwani unataka kuwahi wapi?
Endesha spidi ya 80. Nothing really bad can happen to you at 80 kmh.
Vinginevyo utasababisha watu wale unwabwa na kuongelea mazuri uliyokua nayo.
Mimi Kama nakwenda Arusha najiwekea masaa 12 ya barabarani kwani najua siku hiyo Ni ya barabarani tu. After all ukiiendesha mbio ukifika mapema watakao kusifia Ni walevi na wajinga wa vijiweni tu.
Tunza chombo okoa maisha kwa kuendesha kistaarabu. Bado tunakuhitaji.
 
Reactions: UCD
Barabara ni mbaya sana Ina pot holes nyingi kati ya wami na kabuku, automatically utakuwa mpole na makini, ni barabara hatarishi kiujumla kama km 120
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…