Betty joachim
New Member
- Sep 8, 2017
- 3
- 0
Naitaji nguvu kazi kaka [emoji120]Unataka usaidiwe nini hasa mawazo,mtaji au nguvu kazi?
Hebu weka bandiko lako sawa mkuu ili watu wakupe msaada wa kueleweka.
Pia nikupongeze kwa kutaka kuthubutu naona mabadiliko yapo ndani yako mkuu
Keep going.
Sio kupika ni duka la vyakula rejarejausaidiwe nini sasa mtaji au jinsi ya kupika?
duka la vyakula? vyakula gani ambavyo havipikwi? biscuti , karanga,mkate au crips? fafanua vizuri
Mpaka sasa sijakuelewa nguvu kazi kwa maana ya wafanyakazi au msaada wa pesa
Kama anashindwa hata kujieleza akaeleweka, asubiri kwanza, hii biashara atapata hasara maana hata hajui anataka nini.Mpaka sasa sijakuelewa nguvu kazi kwa maana ya wafanyakazi au msaada wa pesa