Naombeni ushahuri Nataka kufungua biashara ya vyakula na mimi nimgeni wa biashara nisaidie tafadhali

Naombeni ushahuri Nataka kufungua biashara ya vyakula na mimi nimgeni wa biashara nisaidie tafadhali

Unataka usaidiwe nini hasa mawazo,mtaji au nguvu kazi?

Hebu weka bandiko lako sawa mkuu ili watu wakupe msaada wa kueleweka.

Pia nikupongeze kwa kutaka kuthubutu naona mabadiliko yapo ndani yako mkuu

Keep going.
 
Kiukweli hapa utambulia msaada wa mawazo tyuu huko kkwingine we weka hela mfuko wa shati mambo !!
 
Yani unashindwa kujieleza , misaada Wa kwanza hebu jisaidie wewe kwanza uweze kuwa na uwezo Wa kueleza mambo ili watu wajue namna ya kukusaidia kwenye biashara yako. Maana hueleweki ni msaada gani unauhitaji

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Back
Top Bottom