HP1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 3,362
- 878
Wakuu nimesuffer sana mpaka kupata hizo ela sasa ningependa kuzifanyia kitu cha kuingizia nipeni mawazo yenu jamani.
Unafanya shughuli gani kwa maisha? Hii inaweza kunisaidia kukushauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nimesuffer sana mpaka kupata hizo ela sasa ningependa kuzifanyia kitu cha kuingizia nipeni mawazo yenu jamani.
yap imani inaendana sana na "malezi, mazingira na tabia" mkuu.Kama ni mkristo nenda kanisani ufanyiwe ungamo la dhambi toka rohoni halafu utoe sadaka fungu la kumi la hiyo laki saba halafu Mungu atakwambia ufanye nini !
Amini kuwa mshirika na Mungu katika kazi zako, Ubarikiwe.
Wee niletee hizo nikuzalishie, ziache kwangu siku tatu uje nikupe milioni saba