Naombeni ushauli bos wangu kochef chef afu sina kaz nyingine

Naombeni ushauli bos wangu kochef chef afu sina kaz nyingine

mayati

Member
Joined
Dec 16, 2015
Posts
8
Reaction score
5
Ninabos wangu Nina mwendesha kumpeleka kazin lakini bos wangu amekuwa ni mtu wa kunielekeza njia nzima mpaka tuna fulika kazin kwake na tukifika kazin nimsubili palepale mpaka anapo toka ukitoka kidogo hata ukienda kula bas siku inayo fuata hato kuita uje umpeleke na kuusu mshahara yeye ananilipa kwa Siku ninayo mpeleka sh/=10000
 
NYIE NDIO MNAOFANYA HAWA SISIEMU WANAZIDI KUTUUMIZA,HIVI AKILI ZA KIBASHITE KAMA ZAKO KWELI TUTAENDELEA?
 
Back
Top Bottom