mayati
Member
- Dec 16, 2015
- 8
- 5
Ninabos wangu Nina mwendesha kumpeleka kazin lakini bos wangu amekuwa ni mtu wa kunielekeza njia nzima mpaka tuna fulika kazin kwake na tukifika kazin nimsubili palepale mpaka anapo toka ukitoka kidogo hata ukienda kula bas siku inayo fuata hato kuita uje umpeleke na kuusu mshahara yeye ananilipa kwa Siku ninayo mpeleka sh/=10000