Emelamu Junia
Member
- Aug 21, 2013
- 32
- 9
Jamani mi nataka kuanzisha biashara kwa kutumia mashine Ile ya maxmalipo au selcom.. Sasa nipo kweny research.. Ipi inafaa Kat ya hzo maxmalipo au selcom.. In terms of camission.. Msaada Pl na ushaur ikabidi..