Naombeni ushauri akija nifanye nini?

Naombeni ushauri akija nifanye nini?

Wanajukwaa heri ya kumaliza mwaka 2021 na Mungu awajalie tuweze kuona mwaka 2022.
Wakuu nisiwachoshe mimi nina mchepuko wangu ambao umenipenda kupindukia hata sijui nieleze vipi na huu ni mwaka wa sita tuko kwenye mahusiano.
Huyu mchepuko wangu wako mapacha tena wa kufanana na wamefanana kweli ila mwenzake ameolewa.
Sasa Kuna wahuni waliniona niko na mtu wangu na inaonesha huyu mhuni hawawajui vizuri hawa pacha na akapenyeza habari kwa jamaa kuwa mkeo anatoka na mhakiki. Jamaa amemaindi balaa timbwili lake asha ngedele Cha mtoto.
Nimetumia njia za kidplomasia kutatua huu mgogoro ikashindikana.
Shemeji yake ambaye ni mchepuko wangu amefika mbele ya kikao kueleza ukweli kuwa yeye ana mahusiano na Mimi jamaa haelewi na ana mpango wa kuja kuonana na mke wangu.
Naombeni ushauri akija nifanye nini?

Siku ukijifanya mwema ukakiri kosa ndo siku utakuwa umetia sahihi death warrant yako.

Mwanaume hata ukutwe unamwaga wachina kwenye tundu la mwanamke mwingine, kosa kubwa utakalofanya ni kukiri kosa.

That kills a woman kuliko chochote. Mara mia ukatae kuliko kukiri kosa.
 
Na jambo jema ni kuwa:Ukikataa katakata,unasamehewa.😂😂😂
 
Wanajukwaa heri ya kumaliza mwaka 2021 na Mungu awajalie tuweze kuona mwaka 2022.
Wakuu nisiwachoshe mimi nina mchepuko wangu ambao umenipenda kupindukia hata sijui nieleze vipi na huu ni mwaka wa sita tuko kwenye mahusiano.
Huyu mchepuko wangu wako mapacha tena wa kufanana na wamefanana kweli ila mwenzake ameolewa.
Sasa Kuna wahuni waliniona niko na mtu wangu na inaonesha huyu mhuni hawawajui vizuri hawa pacha na akapenyeza habari kwa jamaa kuwa mkeo anatoka na mhakiki. Jamaa amemaindi balaa timbwili lake asha ngedele Cha mtoto.
Nimetumia njia za kidplomasia kutatua huu mgogoro ikashindikana.
Shemeji yake ambaye ni mchepuko wangu amefika mbele ya kikao kueleza ukweli kuwa yeye ana mahusiano na Mimi jamaa haelewi na ana mpango wa kuja kuonana na mke wangu.
Naombeni ushauri akija nifanye nini?

Mchepuko mwaka wa sita!? Halalisha tuu uepuke dhambi
 
Back
Top Bottom