MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Pambana na hali ilivyo. Kipendacho roho ni dawa
Kila mtu ana kasoro yake. Huyo ni manyoya, mwingine ana kibamia au goli moja kwisha kazi. Angalia usije ruko mkojo ukaja kukanyaga mavi.Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
dah umeamua kunianika mbele za watu ?Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Au amsugue na pumba za mahindi awe kama anamnyonyoa bata manyoyafanya hii kitu itakusaidia, JIPENDEKEZE KUMFANYIA MASAJ, THEN TUMIA MAGIC SHAVING KUMPAKA MWILIMZIMA, kwisha habar yake
Atakuwa eiza anajiandaa kuwa sokwe au aliwahi kuwa sokwe nenda saloon akayanyoeNi MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Khaaah mwezi ushaona mnyoya yake , yeye kaona nini cha kwako , Kasha kuonja onja kama juisi na sukari au laah basi ushaisha endelea kushangaa kaonja maziwa afuge ng'ombe wa nini , na mpaka unasema hivi ,na wewe hujapikwa ukawiva na kutokota mtoto wa kikeNi MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Tobaa mbn vipipili
Jamii Forums mobile app