Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Mleta post kanikumbusha post moja hv jamaa alitaka kila mtu aeleze alichoona siku ya kwanza kufanya mapenzi.
Jamaa mmoja aliandika kuwa hakujua achomeke wapi hadi mwanamke aliyeonekana mzoefu kamwambia acha ufala chomeka hapo kwenye nywele nywele.
Daaaaah, jf mapenzi mnafurahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeleta mbinde hapa meridian bet baada ya elf kumi yangu kuliwa, yaan kukosea timu moja tu ndo inaliwa yote, naona wameleta bonsa hapa aje kunichukua, nadhani atakuwa ananipeleka kwa mhindi nikamweleze shida yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Attachments

  • IMG_20170813_203946.jpg
    IMG_20170813_203946.jpg
    62 KB · Views: 40
Hahahaa mtafutie kinyoleo bana.Alafu si vizuri kumsema mpenzio kwa majirani.Mngeyamaliza chumbani haya
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Kila mtu ana kasoro yake. Huyo ni manyoya, mwingine ana kibamia au goli moja kwisha kazi. Angalia usije ruko mkojo ukaja kukanyaga mavi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fanya hii kitu itakusaidia, JIPENDEKEZE KUMFANYIA MASAJ, THEN TUMIA MAGIC SHAVING KUMPAKA MWILIMZIMA, kwisha habar yake
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
dah umeamua kunianika mbele za watu ?
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Khaaah mwezi ushaona mnyoya yake , yeye kaona nini cha kwako , Kasha kuonja onja kama juisi na sukari au laah basi ushaisha endelea kushangaa kaonja maziwa afuge ng'ombe wa nini , na mpaka unasema hivi ,na wewe hujapikwa ukawiva na kutokota mtoto wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndiyo mzuri ukivua nguo akakupapa na kifua chake kwenye matiti, s*h*wa zinatoka kbl ya mkuyenge kupitq
 
Back
Top Bottom