Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Tulianzia kwenye unyama tukaja kwenye ubinadamu huyo mtu wake aliendelea na unyama tu ndio mana bado ana manyoya

Kwa nini isiwe kuwa huyo bwana anaondoka kwenye ubinadamu kuelekea katika namna nyingine?
 
Mbona nilikutana na mwanamke ana vinyweleo kwenye ziwa,simpendi mpka kesho

Akili za usiku
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Ni wa ajabu sana ww eti mwezi nimemuona mwanaume ana manyoya mpaka kwenye uume,sasa we we ndani ya mwezi umeshavuliwa nguo huelewi thamani yako wala uchi wako mptuuuuuuuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Mchemshie maji mdumbukize umnyonyoe
 
Zimwi likujualo alikukuli ukakwisha ..[emoji51][emoji51]
 
Ni mtu au ndege. Binadamu hana manyoya bhana.
Ukipenda boga pendapo na ua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…