Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
- Thread starter
- #101
Hapana siyo kivutioPlz iyo ni fursa mpeleke italia kuna fursa ya sufiii
sent from my iPhone 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana siyo kivutioPlz iyo ni fursa mpeleke italia kuna fursa ya sufiii
sent from my iPhone 6
Tulianzia kwenye unyama tukaja kwenye ubinadamu huyo mtu wake aliendelea na unyama tu ndio mana bado ana manyoya
Kwakweli kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ana manyoya mengi
Wajibu wako kama mwanamke wake uyapnguze sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmh mtuNaona una date Zimwi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona nilikutana na mwanamke ana vinyweleo kwenye ziwa,simpendi mpka kesho
Akili za usiku
Mie ninavyo vyote kwake
Si Mchezo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana moyo kuishi na wanyama
Ni wa ajabu sana ww eti mwezi nimemuona mwanaume ana manyoya mpaka kwenye uume,sasa we we ndani ya mwezi umeshavuliwa nguo huelewi thamani yako wala uchi wako mptuuuuuuuu!Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Halafu mbona kama unamzungumzia brother anguSijui ndo nywele!
Sijui ndo nywele!
nyani ngabu huyo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyani mzee
Mchemshie maji mdumbukize umnyonyoeNi MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?