Willy Johnson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 316
- 156
Sio kumpiga wembe kwani kuku unavyomnyonyoa unampiga wembe unamchemshia maji halafu unamloweka kisha ananyonyolewa maanake huyu boyfriend anamanyoya kawa ndege kama kukuMpige wembe mwili mzima
ghaflaa katoka na ngoziNdio maana nakupenda[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jamii Forums mobile app
Mara pa yameota tena[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]ghaflaa katoka na ngozi
Atakuwa bado ana undergoo revolution process hajafikia kuwa trueman mvumilie tu..! Bado anaunyaninyani/usokwesokweNi MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Hayo ss matuc!unakosoa uumbaji wa mola kias iko?hakuna aliejiumba vinyweleo ni vitu vya kawaida labda mleta mada aseme huyo jamaa yk hivyo vinyweleo havinyoleki!Atakua mnyama huyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chaaaaaaaaaaMara pa yameota tena[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyani mzee
Atakua mnyama huyo
Tena nyani[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni kumdisi mchizi.
MnyoeNi MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Ulitaka kumaanisha Evolution...?!Atakuwa bado ana undergoo revolution process hajafikia kuwa trueman mvumilie tu..! Bado anaunyaninyani/usokwesokwe