Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

ghaflaa katoka na ngozi
Mara pa yameota tena[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
1db39d81899613ead2104599eb58ed6f.jpg


Jamii Forums mobile app
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Atakuwa bado ana undergoo revolution process hajafikia kuwa trueman mvumilie tu..! Bado anaunyaninyani/usokwesokwe
 
Atakua mnyama huyo
Hayo ss matuc!unakosoa uumbaji wa mola kias iko?hakuna aliejiumba vinyweleo ni vitu vya kawaida labda mleta mada aseme huyo jamaa yk hivyo vinyweleo havinyoleki!
 
Acha bangi lady...kwanza unakosea sana kuita manyoya, vinakukera kvp...?
Na kama hvyo si umwambie tu mvunje mahusiano...!!!
 
Mara pa yameota tena[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
1db39d81899613ead2104599eb58ed6f.jpg


Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chaaaaaaaaaa
 
Let say mhusika akawa Member hum ndan That kind of Povu litakuwa dizain la mwny Kifafa.... Unakereka na Papuch unampa... Kiwonder Katoto kadhuri Shunie
 
Back
Top Bottom