Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Kama mchukue salon akanyolewe au nunua ile dawa ya kupaka then umbandue mwenyewe

Jamii Forums mobile app
 
Muda uliotumia kuandika post hii ungeli utumia kutafakari jinsi ya kuongea na huyo mpenzi wako ,
 
yaan mie hayo manyoya jaman ndo ugonjwa wangu! hubby shngon na miguun iuwiii yamejaaaaaa kifuan ndo msitu huu hapa wa mabwepande! mgongo ngoz haionekan !yaan kwel itumetofautina aisee! msismk mubasharaaa
 
Mi ninayo hadi najiogopa, hutaki kuyaona?[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom