Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Hayo ss matuc!unakosoa uumbaji wa mola kias iko?hakuna aliejiumba vinyweleo ni vitu vya kawaida labda mleta mada aseme huyo jamaa yk hivyo vinyweleo havinyoleki!
Kwa nini aseme manyoya aliyekosea kusema kuhusu uumbaji wa Mungu ni yeye sio mie
 
Mbona mnatusema sana,watu sie wenye manyoya jamani.sio dhambi mbna tupo vzur tu...wala hatutumii mbolea,ati yanakuja yenyewe.
Kitu natural au unataka ajichubue hayo??
 
hahahaha kama ni msafi I mean ananukia vizur msamehe ila kama ni hardcore don't care poleee
 
Mi ninayo hadi najiogopa, hutaki kuyaona?[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
d5fa61d3799f33c841f974016eb0c223.jpg

Mimi huyu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Kwani huyo ni kuku awe na manyoya?
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Kwa hyo...ukaona binadam adimu ukaamua kudate ndege

rap beast
 
Hebu fanya uwajaribu wanaume wote uone kama wapo hivo kama huyo boy friend wako
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?

...Sema ana nywele nyingi maeneo hayo, binadamu kamwe hawezi kuwa na manyoya kwani si ndege.
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Zinjan Thropus
 
Back
Top Bottom