Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Is it a German shepherd or somethin different? Nimeuliza hivyo kulingana kichwa cha Uzi wako "manyoya"
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Kwan huyo ndo wakwanza, wewe ulowaona wakoje
Wanawake kujifanya bikira jaman

mauRT
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Labda ulitegemea kukuta Sufi?

Delle Alli
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Mbona hata baadhi ya mademu wapo wa hivo!? No maumbile tu hakuna dawa msaidie kua unam shave atakua poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Yachemshie maji ya moto

acha uongo
 
Manyoya ya ikulu ndogo ya Chamwino mwambie anyoe ila kwingine kama hayakuchomi tulia tu...
 
Back
Top Bottom